Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,787
Habari members! naomba kufahamishwa namna ya kufanya kuwaondoa virus kwenye external had disc. Ni auto run alafu mafaili yote yamejitengezea folder ambazo kila nikideleat au kuscan zinajirudia tena. HD ni transcend ya 1 T na data zilizomo ni GB 630.