Waungwana naomba mnisaidie kupata namba za simu za mkononi za viongozi hawa wafuatao:
1.Waziri---Celine Kombani.
2.Waziri---Philipo Mulugo.
3.Katibu mkuu na Naibu katibu mkuu TAMISEMI.
Sababu za kumba no.hizi ni pale ninapopiga simu za ofisi wahudumu hudai viongozi hao hawapo ofisini ili-hali nina shida kubwa za kiofisi.Wana JF nisaidieni msinipuuze kwani hapa nilipo niko TARIME,na gharama ya kunifikisha DSM na DDM sina,kwani mimi ni mtumishi wa kada ya chini(mwalimu).ASANTENI.