Msaada wa Muvi Clear(HD) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Muvi Clear(HD)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fakhi Jumaa, Jul 8, 2012.

 1. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi,habari, nina LCD TV ya Sony Bravia inchi 40,na nina tumia Deki ya Panasonic DMP-BDT 110, nimeunga Deki na TV kwa HDMI cable shida yangu nataka nipate muvi zilizo clear kwenye TV ,au nawezaje kupata picha clear hasa kwa DVD au kwa ushauri wowote ambao ninaweza fanya nikapata picha za quality ya juu,mf ninunue DVD zenye capability ipi? Au nipate kitu gani ili niinjoi muvi zilizo safi? Natanguliza shukrani
   
 2. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Na kwa wasioijua hii deki(DMP-BDT110) ni Capable kwa ku Play Blue Ray discs na 3D movies buddies
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ukiwa una deck ya blu-ray umeshafika coz ukitaka kufurahia movies nzuri lazima utafute zenye res ya 1080p/i (1920*1080) na ukubwa wa movie za res ya kihivo ni kwamba tu utazipata ndani ya blu-rays. tatizo ni kupata blu-rays hapa bongo. pia unaweza ukajifunza kudownload, hukosi movies za hiyo res kwa torrents
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  dvd zote zina res ya either of these
  720 × 576
  704 × 576
  352 × 576
  352 x 288
  720 × 480
  704 × 480
  352 × 480
  352 x 240
  352 × 288
  352 × 240

  kama unavyo ona, resolution za dvd movies ni very low. kwa tv za kawaida they are okay, lakini unahitaji better resolutions ili kufurahia tv yako (yaani blu-rays)
  na while kuna mambo kama upscaling, quality ya movies on a widescreen kama ya kwako hutaona the best quality ukitumia dvds. tafuta blurays au downloads kama unataka true crisp quality
   
 5. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nadhani mmenifungua macho wakuu ,sasa kama kuna yeyote mwenye link ambayo naweza kupakua hizi muvi za Blue Ray,tafadhali naomba anitupie hapa niweze kuzidown load.Na pia nawezaje kupata hizi CD za blu ray hasa kwa hapa Bongo?
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kupata movie za bluray hapa bongo ni ngumu sana coz ya price zake. (na wachina hawajatengeneza za 'kichina') pia.
  movie za bluray zina ukubwa wa 16-25gb ila kuna jinsi ya kuzicompress
  cheki hii link kama una utorrent John Carter 720p. ni 5.47gb ila ni real bluray na itashine kwa tv yako. expect bluray downloads zote ziwe kwenye hizo sizes. so kama huna broadband ya maana, una shida mkuu
  nimeona umesema upo arusha. nina 'fake bluray' movies. sio fake ni kwamba tu zinakuwa zimekuwa ripped from bluray disks na kuwa compressed to normal size (700-1gb). kwa laptop yangu ziko poa ila ave never tested them on a hd tv nijue kama quality ni sawa na ya bluray, kama vipi nipo a.town for my holidays
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Taja movies list halafu nikuwekee links zake hapa
   
 8. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Movie list ni hizi
  1. Gladiator
  2. Ghost Protocol
  3. Wrath of the Titans,
  5. Blood and Bones
  6. Troy
  7. Rules of Engagement
  Kwa ujumla Muvi zote za Action,Thriller,Epic,Au Chinese/Hongkong Movies i'll be glad to have them kaka
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapa na mimi nimepata kitu.
  thanks Guys
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Mkuu haina haja ya mbwembwe zote za BlueRay player. Mkuu una hard drive ya memory za kutosha? Je hiyo deck yako ina usb port? Kama vp na unataka mamovie yenye Kwality then yapo ya kumwaga version kibao 1080p, 1080i, 720p, Blue ray, HDrip, na DVDrip za kumwaga.
   
 11. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa mkuu mambo yanaendaje?, hamna noma aisee,nakumbuka tulisha wahi kuongea kuhusu Blue Ray Movies,Nawezaje kuzipata mkuu, nazihitaji kaka
   
Loading...