binti mkupasi
Member
- Jan 9, 2016
- 25
- 16
Habari wana Jukwaa.
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogea za mche. Kama unaweza au una mfahamu mtu ajuaye tafadhali niunganishe naye.
Kuna rafiki yangu ana uhitaji sana, Pia waweza kuwasiliana naye kwa namba hizi: 0656142433
Ahsante.