Msaada wa movie:

BRAND

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
295
249
Wadau ninashida na hii movie inaitwa deep blue sea ndani yupo morgan freemam,ll cool j na wengine nimewasahau ni kali sana niliwahi kuiona mara moja kwenye steshen moja ya tv,natamani kuiona tena nikiwa nimetulia ni movie kali sana inayo onyesha wanasayansi wanaofuga papa na kuwafanyia utafiti lakini baadae kunakitu wanakosea na kuanza kupatwa na matatizo,please nipo serious nimeiona kama miaka minne iliyopita nataka kujua nitaipata wapi
 
Back
Top Bottom