We ni mzee majuto mwenyewe unakuja kutest uone kama movie yako ipo mtandaoni au laah!? sasa link ninayo ila sikupi. ova.Nimejaribu YouTube nimekuta vipande vya matangazo tu hivyo mwenye link naomba anisaidie niidownload hiyo movie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We ni mzee majuto mwenyewe unakuja kutest uone kama movie yako ipo mtandaoni au laah!? sasa link ninayo ila sikupi. ova.
Mie siye mzee Majuto mkuu,We ni mzee majuto mwenyewe unakuja kutest uone kama movie yako ipo mtandaoni au laah!? sasa link ninayo ila sikupi. ova.
Nikikupa link nitapata discount ya % ngapi kwa jeneza langu.Mie siye mzee Majuto mkuu,
Mie ni yule muuza majeneza maarufu hapa Dodoma.!
Ila kama link unayo ila umeamua kuninyima poa siku ukifa sintowauzia ndugu zako jeneza kwa bei ya punguzo.[emoji15]
Kanunue cd wewe, acha wiziBinafsi sio mdau sana wa Bongo movie ila namkubali sana King Majuto pekee,
Kuna ile movie inayoitwa "nakwenda kwa mwanangu"
Aliigiza na Jb,
Nimejaribu YouTube nimekuta vipande vya matangazo tu hivyo mwenye link naomba anisaidie niidownload hiyo movie.
Mbarikiwe sana.
Nikikupa link nitapata discount ya % ngapi kwa jeneza langu.