msaada wa mkopo

msaada wa mkopo

Sophia bavuma

Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
66
Reaction score
6
za leo wana jamii forums naomba kama naweza kusaidiwa kupata mkopo mimi ni mama wa watoto wawili sina msaada yoyote. uwezo wangu ni mdogo nilikua nafanya biashara ndogondogo lakini kwa bahati mbaya mtaji wangu hautoshi napenda kuendelea na biashara yangu. nina baking cake for birthday lakini kinyumbani zaidi sina mtaji mkubwa wa kufungua baking. ninaomba mkopo wa Tsh laki mbali. nitashukuru sana ndugu zangu
 
za leo wanajm naomba kama na weza kupata mkopo mimi ni mama wa watoto wawili sina msaada yoyote. uwezo wangu ni mdogo nilikua nafanya biashara dogodogo lakini kwa bati maya mataji wangu watoshi napenda kuendelea na biashara yangu. nini baking cake for birthday lakini kinyumbani zaidi sina mataji mkubwa wa kufungua baking. mkopo niliona shida nao ni laki mbali. nitashukuru sana ndugu zangu

Weka namba zako za simu na sehemu ulipo watu wakusaidie kwa ushauri au kukupatia huo mkopo.
 
za leo wanajm naomba kama na weza kupata mkopo mimi ni mama wa watoto wawili sina msaada yoyote. uwezo wangu ni mdogo nilikua nafanya biashara dogodogo lakini kwa bati maya mataji wangu watoshi napenda kuendelea na biashara yangu. nini baking cake for birthday lakini kinyumbani zaidi sina mataji mkubwa wa kufungua baking. mkopo niliona shida nao ni laki mbali. nitashukuru sana ndugu zangu

siku nyingine ukiwa unahitaji mkopo wa biashara si nzuri kufunguka shida ulizonazo, mkopeshaji ataingiwa na woga huenda pesa ikaishia kulisha family na isifanya kazi tarajiwa! wewe unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom