DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,986 Reaction score 3,151 Jun 28, 2017 #1 Heshima kwenu! Nina mzani ule wa kukalisha mazao/bidhaa wakati wa kupima lakini mawe yake yamepotea pamoja na kile kisanduku kinachopitishwa kwenye rula, ningependa kujua kwa anayejua bei ya mawe pamoja na hicho kisanduku.
Heshima kwenu! Nina mzani ule wa kukalisha mazao/bidhaa wakati wa kupima lakini mawe yake yamepotea pamoja na kile kisanduku kinachopitishwa kwenye rula, ningependa kujua kwa anayejua bei ya mawe pamoja na hicho kisanduku.