Habari zenu wana MMU
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikutana na mwanamke mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kubadilishana namba tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara na hatimaye chat zetu zikawa mambo ya mapenzi.
Tulielezana ukweli kwamba wote tupo single na pia kuwa mie sina nia ya uhusiano wa kufika kwenye ndoa, yaani tuwe friends with benefits, kwa bahati nzuri bidada akanielewa na tukala raha pamoja.
Kiukweli bidada mambo anayajua na nilienjoy sana.
Ilifika wakati bidada akawa anasema nakupenda na mbona wewe huonyeshi dalili za kunipenda na mie naumia ila kwa kuwa tulikubaliana tuwe friends with benefits basi tuendelee tuu.
Basi tukawa tunapeana mambo ila ilifika wakati mie nikawa kama nampotezea maana kwa kiasi fulani ile yeye kunitamkia i love u alafu mie naishia kusema thank you ilikuwa inanipa wakati mgumu.
Sasa majuzi nikakutana nae kwenye kiouting cha pamoja na katika mazungumzo sii ndio akaniambia kuwa wewe umenichunia so mie nimeenda tafuta raha kwa mwanaume mwengine ila akawa anasema kuwa huyo jamaa hakumridhisha.
Sasa sijui kwa nini lakini mie nimeumia moyo sana kutokana na yeye kuniambia kuwa amesex na mwanaume mwengine even though tulikubaliana kuwa we just frends with benefits.
Yaani nashindwa kulala ata kula sina hamu basi nabaki nawaza tuu jinsi yale maujanja aliyonipa mie kuwa amempa mwanaume mwengine.
Naogopa kumwambia kuwa nimeumia maana ataniona kuwa nimeshindwa kubakia katika friends with benefits.
Nishaurini nifanye nini jamani.