Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

Deliver

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
61
Reaction score
17
Kwa wanaume ulikua umeshafanya nini cha maendeleo baada ya miaka 3 kazini tiririka kulingana na kipato chako maana kuna watu wana mishahara midogo ila wana maendeleo kuliko wenye mamilioni.
 
me afta miaka 3 nna kiwanja na pia shamba la heka tano hukoooo pwani nalima mananasi nk navuna afta 2 yrs
 
Mimi kila jioni nachangia pato la taifa na ndovu baridi.
 
Wengine wanasema wana usongo ....
Wengine waliobaki wanapigana madongo...

Wabongo ... wabongo

Wewe mbongo kwanini umchunguze mwenzio kwani wewe umekua FBI...
Jitu umelijua dakika mbili tu mara linataka laki mbili...

Wengine wanasema wana usongo ....
Wengine waliobaki wanapigana madongo...

Wabongo ... wabongo
 
aisee, hili swali zuri saana, ngoja tuone watanzania tulivyo wavivu na waoga kuthubutu, bila shaka,,majibu mengi yatakuwa kujenga na kununua gari.... hakuna mradi
 
Back
Top Bottom