Muulize huyo huyo binti...
kuna binti 2napendana xana,na 2meahidiana kuoana hapo baadae mungu akipenda.Kila m2 ninaemuambia ananishaur kilichobaki nchunguze background yao.Je nitachunguza vp background yao?:help:
Hahahahahaaa!
Apo si atapewa zile nzuri nzuri tu!
Mkapime ukimwi hapo ndo utajua background yake
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
labda kama anataka education background ndo ataipata huko googleZama gogle kijana! Utaona kila kitu kuhusu yeye!
Chezea Goooooogle weyeee!
kuna binti 2napendana xana,na 2meahidiana kuoana hapo baadae mungu akipenda.Kila m2 ninaemuambia ananishaur kilichobaki nchunguze background yao.Je nitachunguza vp background yao?:help:
labda kama anataka education background ndo ataipata huko google
akimchunguza sana bata hata mla shauri lake. naungana na wadau waliomshauri wakapime HIV.Ahaahaaa!
What u have said is correct 100%!
And what i have is correct too!
Mmh! Jamaa kauliza "....VIPI ataweza kumchunguza!" katumia kiulizi 'VIPI' = 'HOW'!
EDUCATION HAS NO LIMITS!