Msaada wa mawazo.........

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Nimekuwa nabadilisha sana avatar kwa sababu mbalimbali zikiwemo kufanana na baadhi ya watu na wakati mwingine kutozipenda zile nilizoweka baada ya muda. Sasa naomba msaada wa mawazo wa avatar gani niweke ili nisibadilishe tena Zingatia: Isiwe ya mtu maarufu wala mnyama Zawadi itatolewa kwa wazo bora
 
Badilisha kicha cha habari kha!...... unafikiri ukiandika msaada ndio utasaidiwa, piga picha mashine yako uiweke avater.
POPOOOOO!
 
Kwani kuwa na avatar ni lazima?
 
una visa vya madenge.
Wela ile uliyoluwa na shati nekundu na kaafro hivi.
 
kama ni avatar weka picha inayoku-reflect wewe Musimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…