Ajira siku za hivi karibuni limekuwa janga la taifa, lakini kila mja na hatima yake hakuna anayejua. Aende akasome tu kwa bidii afaulu vizuri. Ajira kila fani siku hizi ni changamoto ingawa zipo fani zenye unafuu.Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM)...
Sawa, vp kuhusu kada za hii kozi , unazifahamAjira siku za hivi karibuni limekuwa janga la taifa, lakini kila mja na hatima yake hakuna anayejua. Aende akasome tu kwa bidii afaulu vizuri. Ajira kila fani siku hizi ni changamoto ingawa zipo fani zenye unafuu.
Mkuu mbona mwandiko unafanana na wa mdogo wako?Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM)...
Hao mara nyingi wanakuwa watendaji wa vijiji kama sijakosea.Sawa, vp kuhusu kada za hii kozi , unazifaham
HR au afisa mhutasaHao mara nyingi wanakuwa watendaji wa vijiji kama sijakosea.
NGO's zipo atakapofika chuoni atapata muongozo huko kuhusu hatima yake kwa kaka zake na wale ambao wanasoma lakini tayar wapo kazini.Inaonekana huwa wanaajiriwa serikalini tu ila upande wa private sector amna kada zao sio
Haha just joking, hapana mkuu sifahamu kuhusu hiyo course.Next time nitaboresha muandiko wangu kidgo , vipi unafaham lolote kuhusu mada husika hapo juu
Ngoja waje kukupa muongozo...Hapana,ila mm ni kaka yake na ndio kama mlezi wake , ila ningependa kujua zaidi kuhusu kozi hiyo kwahyo kama unafaham lolote naomba unimbie
Kwani kuna shida gn ukisema ni ww? anyway hii kozi haina coverage ya kutosha kwenye suala la jira inategemea zaidi kuajiriwa na ukija kuangalia tatizo la ajira kwasasa ni bora kuopt kozi yenye coverage panaNatumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM) , sasa mm naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifaham hii kozi na kada zake vizur naomba anisaidie kuifaham vzuri.
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM) , sasa mm naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifaham hii kozi na kada zake vizur naomba anisaidie kuifaham vzuri.
Ha ha ha..ila JF kiboko.Natafuta kazi ya kujitolea
Mimi ni kijana (ME) nina miaka 22 mwanafunzi wa chuo cha mzumbe ni nasoma BACHELOR OF LOCAL GOVERNMENT MANAGEMENT mwaka wa kwanza . Kwa sasa nipo mkoani rukwa natafuta kazi ya kujitolea katika mashirika yasio ya kiserikali (NGO) kwa kipindi hiking cha likizo ambayo itashia mwezi wa 8 ...www.jamiiforums.com
Mkuu si useme tu ni wewe... Kwani kuna shida gani.?