Msaada wa mawazo

May 20, 2015
74
44
Master's in automation and computing engineering vs master's in automation and mechatronics vs master's in electrical and electronics engineering

Habari zenu wakuu.
Ninaumbwa kujuzwa juu ya kozi ainishwa hapo juu.
Mimi ni graduate wa be in electrical and electronics engineering.
Ninapenda sana kusoma automation lakini naona kama viwanda vyetu si hai sana.

Sasa kulingana na uchimi na jinsi nchi yetu ilivyo naomba miongozo wa kozi ipi nisomee pia kama hakina hapo juu unaweza orodhesha ile ambayo wewe unadhani itakuwa sahii pamoja na ufafanuzi wake.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom