msaada wa mawazo!

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
wakuu nawasalimu! Nna mdogo wangu wa kike amemaliza kidato cha sita na kufauulu vizuri,ni degree program gani ajiunge ili iwe rahisi kwake kupata kazi kati ya hizi? Human resouces management,makerting&enterprewship na microfinance! Nawakilisha.
 
kamaliza combination gani mkuu? tukijua inaweza saidia sana
ila hint anaweza apply hizi coz
BCOM (FINANCE, MAKERTING, HUMAN RESOURCE )MLIMANI ZIPO ZOTE
 
Unajua Ossy, tunashindwa kujua nini tufanye tunachokipenda, mi nafikiri muulize yeye binafsi anapenda afanye kazi gani, na mandhali kafaulu vizuri basi atakuwa na opportunity nzuri ya kuwa na choice kubwa ya courses kutegemea na kazi gani atapenda ifanya. Otherwise naona ni kinyume kumchagulia mtu then at the end of the day anashindwa kutimiza wajibu wake alikoajiriwa...simply labda hakuwa na interest na hy kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom