Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Salaam ndg zangu,
Jaman naomba kusaidiwa hivi ni course gani ya (Masters) iliyo marketable anayoweza soma MTU aliye na first degree ya Elim(BAED)
Note:ZILIZO NDANI YA FIELD YA EDUCATION AU HATA NJE YA HIYO FIELD.
Karibun kwa mawazo watu wangu naona huu ualim tumepishana akili tayari,nime graduate Mwaka huu UDSM - COHU,nisaidie nataka niendelee niuteme mbaliii ualimu...