mbwadinho Senior Member Jun 29, 2016 180 102 Jul 7, 2016 #1 Wadau ni bora kusoma A level kwa mwaka mmoja au kusoma open university foundation course kisha kusoma degree Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kipi in bora kati ya hivi vitu viwili
Wadau ni bora kusoma A level kwa mwaka mmoja au kusoma open university foundation course kisha kusoma degree Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kipi in bora kati ya hivi vitu viwili
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Mar 26, 2013 957 379 Jul 7, 2016 #2 Kama uko town Piga A level kama ukp bush sana Foundation ndio kiboko yake
mbwadinho Senior Member Jun 29, 2016 180 102 Jul 7, 2016 Thread starter #3 Sasa nipo mwanza had mwanza naul no buku