assassin eagle
Senior Member
- Apr 23, 2022
- 113
- 451
Nina diploma in clinical medicine Nina GPA ya 2.4 nitafanyaje ili niweze kujiendeleza kusoma elimu ya chuo kikuu
Jaribu open university wana kozi ya foundation labda itasaidiaNina diploma in clinical medicine Nina GPA ya 2.4 nitafanyaje ili niweze kujiendeleza kusoma elimu ya chuo kikuu
Kwa kuwa una GPA below 3, hatua ya kwanza unapaswa ku'upggrade hiyo GPA upate 3 kupitia kozi ya Foundation program inayotolewa na Open University ambayo imepewa kibali na TCU.Nina diploma in clinical medicine Nina GPA ya 2.4 nitafanyaje ili niweze kujiendeleza kusoma elimu ya chuo kikuu
Naomba ushauri wa namna ya kupata nafasi kusoma nchi za nje.Kwa kuwa una GPA below 3, hatua ya kwanza unapaswa ku'upggrade hiyo GPA upate 3 kupitia kozi ya Foundation program inayotolewa na Open University ambayo imepewa kibali na TCU.
Ingawa haitakuwa rahis kupata Medical courses bongo kwa Kupitia kozi hiyo kutokana na Competition unless uende kusoma abroad au jaribu private universities.
Ila kwa koz zingine nje ya medical unapata cha msingi Foundation koz hiyo ya miez 6 mpaka 1 upata GPA 3 na above!
So kama unania kila kitu ni possible!
Mm Sio mtaalam wa maswala ya scholarship za kusoma nje,Naomba ushauri wa namna ya kupata nafasi kusoma nchi za nje.
Ikiwezekana na kupata ufadhili.
Ndugu yangu maisha yahaendi hivyo ,ww umefikilia kuhusu GPA ila Kuna sababu zinazoweza kutokea mpaka mtu akaangukia kupata hivyo au kufeli ,hao wote unaowaona juu sio wote walifaulu vizuri wengine sababu hawakukata tamaa ,Kuna jamaa zangu wamedisco wakati Wana GPA above 3Mkuu kusoma sio kichwa/ fani yako. Jitafute wapi unaweza. Kozi za diploma kupata GPA hio! digrii utaenda ku disco af uje ujilaumu.
Jitafute mkuu .
Au doma vourse za nusiness haziwagi ngumu, au management in healthy system , hayo masayansi achana nayo huyawezi. D
Asante Mkuu , naomba unielekeze vizuri kuhusu foundation program japo nasikia kwenye Afya hakuna hiko kitu ,naomba una ufahamu wowote unielekeze vizuriKwa kuwa una GPA below 3, hatua ya kwanza unapaswa ku'upggrade hiyo GPA upate 3 kupitia kozi ya Foundation program inayotolewa na Open University ambayo imepewa kibali na TCU.
Ingawa haitakuwa rahis kupata Medical courses bongo kwa Kupitia kozi hiyo kutokana na Competition unless uende kusoma abroad au jaribu private universities.
Ila kwa koz zingine nje ya medical unapata cha msingi Foundation koz hiyo ya miez 6 mpaka 1 upata GPA 3 na above!
So kama unania kila kitu ni possible!
Fuata huu ushauri ili ujiajiri.Jaribu Kuomba Ila Kupata Ni 10% ,Kama Una Hamu Ya Kusoma Kaongeze Diploma Ya Diagnostic Radiograph
Ww ulifuata ushauri upi ? Kipindi kile ulitaka kusomea dental Kuna watu walikushauri kusoma radiology pia ,kati ya dental na radiology ipi NZurFuata huu ushauri ili ujiajiri.
Nimeomba Radiology CUHAS...maana ndo Ina uhusiano wa moja kwa moja na Cheti nilichonacho bila kuathiri kimoja wapo maana lengo langu kujiajiri...Ww ulifuata ushauri upi ? Kipindi kile ulitaka kusomea dental Kuna watu walikushauri kusoma radiology pia ,kati ya dental na radiology ipi NZur
Nami nliskia watu wanasema kwenye Afya haipo wakati kiuhalisia kuna watu wanasoma kupitia huko wenye diploma ya Clinical, Famasi na kozi zingine za afya ambazo GPA zao hazikuwa above 3,Asante Mkuu , naomba unielekeze vizuri kuhusu foundation program japo nasikia kwenye Afya hakuna hiko kitu ,naomba una ufahamu wowote unielekeze vizuri
Asante Mkuu , naomba unielekeze vizuri kuhusu foundation program japo nasikia kwenye Afya hakuna hiko kitu ,naomba una ufahamu wowote unielekeze vizuri
Asante Mkuu nitafanya hivyoNami nliskia watu wanasema kwenye Afya haipo wakati kiuhalisia kuna watu wanasoma kupitia huko wenye diploma ya Clinical, Famasi na kozi zingine za afya ambazo GPA zao hazikuwa above 3,
Na hiyo kozi ukifanya application hapo Open university, TCU ndo wanayoyapitisha hayo majina.
Kwa watu wa Afya watachukuwa masomo ya sayansi kadri ya core subjects za Diploma zao.
So nenda Center yoyote ya Open University watakupa maelekezo mazur na utasoma na utamaliza then utaendelea degree.
Maneno ya kitaa yatazid kukuchelewesha bro.
Nimekupa mwongozo fanyia kazi, leta mrejesho.
Usipoteze muda!
Utanishukuru bdae!