Msaada wa mawazo ya Biashara/ Mradi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo ya Biashara/ Mradi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwenda_Pole, May 18, 2010.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanajamii, nina ndugu yangu amefanikiwa kupata connenction na watu ambao wangependa
  kuwekeza Tanzania kwa kujishughulisha na mradi ama biashara ya mtaji wa kuanzia kama 40 millions Tsh. Capital inaweza kuendelea kuongezwa kutegemea na jinsi mradi/ biashara itakavyokuwa inalipa.

  Sasa Mtihani ni huu...

  Huyu ndugu yangu aliweza kuwashawishi tu kuwa mazingira ya Tanzania ni mazuri kwa biashara/ miradi kama mtu anaweza kuwa na capital nzuri na hawa jamaa wakakubali kuwa kama wanaweza kupata a good business idea basi wanaweza kutoa kiasi cha fedha nilivyoelezea hapo juu.

  Sasa wanajamii huyu ndugu yangu kanifuata katika kukusanya mawazo mbali mbali na hatimaye
  aamue ni kitu gani wanaweza kufanya. Na mimi nikaona sio mbaya kama nikiwasilisha hili suala hapa jamvini
  nikiamini humu ndani kuna watu wengi sana wanashughulika na vitu mbali mbali na wengine wana experience na biashara mbali mbali.

  Naombeni Business Ideas wapwa... kwa mtaji wa Tsh mil 40 unaweza kufanya biashara gani halali ambayo inaweza kuonyesha mafanikio kwa muda ambao sio mrefu?

  I am looking forward to get some good ideas from you guys..
  Natanguliza shukrani
   
 2. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  waheshimiwa vipi, inamaan JF ndio weupe hivi?
  siku ya pili naona kimya wapwa..msaada unahitajika
   
 3. K

  Kagasheki Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri na wewe unaweza kugundua kwa nini kimya,msaada unaoomba hapa si mahala pake kuupata maana hii ni sehemu ya kujadili siasa na si mengineyo.Hivyo ni vema ukaihamisha na kuipeleka sehemu ya biashara iliyo humu humu JF.Nafikiri nitakuwa nimekusaidia
   
Loading...