Naomba ushauri kuhusu mwanamke huyu

Naomba ushauri kuhusu mwanamke huyu

Sasa jamaa kama amekuwa anakuandikia message kabla hujamtoa bikra na ulikuwa unamuelewa na miaka yote mitatu umekuwa unazisoma na kuzielewa kwanini sasa hivi uone kuwa hazieleweki!!....Ana akili ya kufanya biashara na kuishi kama mke na mama wa watoto? Hilo ndilo swali la msingi hakuna mtu anatumia elimu ya darasani kwenye maisha ya siku hizi....Acha ushamba jamaa
 
Mawazo ya kizamani sana, watu tushatoka kwenye kuamini kwenye level za kielimu ila wewe bado upo huko. Kinachoshangaza unakosoa uandishi wa huyo unayemzunguzia hapa wakati uandishi wako pia sio wa kisomi kabisa.
ila si umeelewa, mimi ua sielewi sasa
 
Wee jamaa acha uboya una degree hata kuandika hujui? Inakusaidia nini sasa.

Watu maprofesa wameoa darasa la 7 na maisha yanaenda, wewe na kidegree chako hicho cha kipindi hiki hamna hata ajira za maana unajiona keki.! Think twice usijejuta maishani na maamuzi ya ujana wako.
 
Kwa hiyo mnataka kusema elimu haina Maana acheni huu ujingaa kabisa mimi nilienda kuowa nikaulizwa kiwango cha elimu unakazi gani
Elimu itabaki pale pale
 
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa.

Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message kwenye simu yaani ua anaandika ovyo ovyo, sizani kama wengine au wanaelewa.

Msichana ni black beauty, karembo flan iv ua kana macho flani ivi eh, yko mkoa X kwa ndugu yake na mimi uo mkoa ndipo nilipo, na tumekua tukiongea sana ila mazungumzo yamekata.

Kiukweli nilitaka kumuoa, ila demu kaishia la saba kama hanidanganyi ika inaonekana sizani kama ata shule alienda na kazariwa 1999, ila nilimwambia nmuendeleze kielimu walau awe na ka cheti ka fani yoyote ata kama hatapata ajira.

Ila amekataa kata kata, na mimi kiukweli siwezi kabisa kuoa demu kaishia la 7, saivi tuna wiki hatuwasliani, anatuma message na kupiga simu, sijibu wala spokei.

Ata kama ni mapenzi ika kuna sehemu, lazima mtateleza tu, kusoma hataki anataka kuolewa, mimi nimefail ata kama ni mapenzi wazee, na wana tabia unaweza kusomesha na akakukimbia io sawa, utalipwa mbeleni, ila mimi nmeamua nmuache, ata nkimuita tena, ntamdanganya tu, ntalala nae ika kumuoa nmegoma ila stamwambia.

labda wazo lmuijie ghafla akubali kusoma.

Unataka mawazo gani wakati tayari umechukua maamuzi ya kumuacha ...acha ujinga utapa laana bure muoe mtoto wa watu
 
Duh!!!!!! Mbona wewe mwenyewe kuandika ni shida.
Au degree yako ni ya ujinga
 
tatzo sku nkikwama mm itakuaje au sku nkiondoka mimi watoto wangu wataishje
Unaonekana huna nia yakuoa chalii.. Maana sababu kibao issue ilikuwa shule now unashauriwa unasema ukikwama!!! Man hamna mwanamme anaewaza kukwama hasa ukiwa na familia... We Oa uyo binti ukikwama rudi tena apa jukwaani. Kwani sasa ivi ukwami? Na ukikwama nani anakukwamua?
 
Kwa hiyo mnataka kusema elimu haina Maana acheni huu ujingaa kabisa mimi nilienda kuowa nikaulizwa kiwango cha elimu unakazi gani
Elimu itabaki pale pale
Sio kama haina maana ila mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na kigezo icho ili uwe na mke au kupata mke... Yani kama mwanamke hakusoma usioe uwo ni umama na uwoga wa majukumu... Kazi ya mwanamke inajulikana na kazi yako men nikuhudumia familia... Kile anachotakiwa kufanya mwanamke hakiitaji elimu
 
Wee jamaa acha uboya una degree hata kuandika hujui? Inakusaidia nini sasa.

Watu maprofesa wameoa darasa la 7 na maisha yanaenda, wewe na kidegree chako hicho cha kipindi hiki hamna hata ajira za maana unajiona keki.! Think twice usijejuta maishani na maamuzi ya ujana wako.
nshaajiriwa
 
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa.

Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message kwenye simu yaani ua anaandika ovyo ovyo, sizani kama wengine au wanaelewa.

Msichana ni black beauty, karembo flan iv ua kana macho flani ivi eh, yko mkoa X kwa ndugu yake na mimi uo mkoa ndipo nilipo, na tumekua tukiongea sana ila mazungumzo yamekata.

Kiukweli nilitaka kumuoa, ila demu kaishia la saba kama hanidanganyi ika inaonekana sizani kama ata shule alienda na kazariwa 1999, ila nilimwambia nmuendeleze kielimu walau awe na ka cheti ka fani yoyote ata kama hatapata ajira.

Ila amekataa kata kata, na mimi kiukweli siwezi kabisa kuoa demu kaishia la 7, saivi tuna wiki hatuwasliani, anatuma message na kupiga simu, sijibu wala spokei.

Ata kama ni mapenzi ika kuna sehemu, lazima mtateleza tu, kusoma hataki anataka kuolewa, mimi nimefail ata kama ni mapenzi wazee, na wana tabia unaweza kusomesha na akakukimbia io sawa, utalipwa mbeleni, ila mimi nmeamua nmuache, ata nkimuita tena, ntamdanganya tu, ntalala nae ika kumuoa nmegoma ila stamwambia.

labda wazo lmuijie ghafla akubali kusoma.

Mrejesho
 
Back
Top Bottom