Msaada wa mawazo tafadhali:

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?
 
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?

Mmmh! Group Facebook nauhakika hapo labda una member watano tu wanao kusikiliza na sina uhakika kwamba kwenye biashara wanaweza kukusikiliza, Facebook na uhakika walio wengi hawako siriaz , tupia matangazo humu humu jf utapata tu wateja

Jamii forums ina watu ambao wako siriaz zaidi na wana jf walio wengi wanaelimu ya juu zaidi ukilinganisha na wa Facebook , labda nikupe ukweli zaidi hawa wadau wa fb ni kama kianzio cha kufahamu au kuingia internet, walio wengi hawatumii simu kubwa , simu zao hazina uwezo tunaitaga future phone sio smart phones!
 
nks partner, unajua ninaangalia lile group la TANURU LA FIKRA, yule jamaa sio kwamba anapiga business pale. Group langu linahusu issue inayowagusa watu wengi so kila saa watu wapo active.
 
sasa kama imekushinda hata kutaja jina la group upo serious kweli?!!!
 
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?



Kweli facebook watu hawapo serious kama alivyosema mdau. Wengi wanaotumia facebook ni wale waliotambua internet hivi majuzi.



Labda ufungue blog, halafu uwe unapost links za blog kwenye hiyo page ya fb, ili kuwavuta hao visitors kwenye blog yako. Pia tumia zaidi habari za burudani na za udaku kwani ndio zinazopendwa na wengi wasio na elimu kubwa za mitandao.



Habari za kina diamond 💎 na zari zisipelee, kwani zinavuta wadada na wanafunzi.

Hapo utaweza kunufaika na GOOGLE ADS
 
Fungua Blog Then Share Kwenye Group Hapo Utafaidika Na GOOGLE ADS
 
mm naona wachangishi sh 300 kwa siku utapata 30000 kwa mwenzi utapata laki tisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…