Msaada wa mawazo tafadhali

Msaada wa mawazo tafadhali

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
417
Pokeeni salamu zangu za dhati ndugu zangu wapambanaji wenzangu na polen na majukumu ya kutwa nzima ya Leo,

*Mimi ni kijana niliyetoka katika familia duni na isiyo jiweza kiuchumi
Lakin Nina ndoto za kufuta historia ya ya umaskin katika familia yangu kwa siku za mbeleni*

Kwa maana hiyo ni lazima nipambane kw bidii na juhudi pamoja na nidhamu ya Hali ya juu,

Nina wazo
Kuna idear ya jambo Moja nadhani nikifanikisha nitatoboa kwa urahisi
Nataman ninunue eneo la heka Moja kwa makadirio ni umbali wa km 6 kutoka Arusha mjini

Baada ya kununua
Nifuge nguruwe 50 na kuku wa mayai 1000
Sungura, Bata aina zote, njiwa, simbilisi mbuzi
Na ng'ombe wa gredi Kama 3
Kwa muda wa miaka 3 Nina huhakika wa kurudisha hela na na faida juu hata Kama mambo yatakuw tofauti na wazo langu,

Changamoto ni kwamba Sina mtaji na kwa project yangu Hadi kuanza kutengeneza faida nahitaji kias Cha million 16 je nazipataje?

Kuna mtu namtegemea,
Sijui nitumie mbinu gani kuandaa project yangu
Ili nikimpelekea aweze kuniunga mkono
Au taasiai yake iniunge mkono
Ndio maana nipo hapa

Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kuandaa project yangu na ni vitu gani vya kuzingatia?

Naomben wataalamu mnisaidie kwa hili,

Mbarikiwe sana.
 
Vijijini unaleta.mjini.

unapatikana wapi shemeji tushauriane zaidi
Nipo dar ila nina acces na masaini huko...eneo linaitwa naibili sanya huko..
Tunanunua na kuuza kwa bei ya chini tena baada ya kukaa nao kidogo.faida sijaiona bado
 
Nipo dar ila nina acces na masaini huko...eneo linaitwa naibili sanya huko..
Tunanunua na kuuza kwa bei ya chini tena baada ya kukaa nao kidogo.faida sijaiona bado
Nenda Tanga vijijini huko ndio mbuzi wa Bei Poa wanapatikana.

kisha njoo uuze Dar kwa wauza supu na kwingineko
 
Achana na milioni 16, utapasuka kifua bure

Tafuta laki 3-5 anza biashara ya kununua na kuuza mbuzi.

mbuzi wa elfu 50 unakuja kuuza elfu 80 mpk laki na nusu.

Baada ya hapo uwe na heshima kwa kila mtu
Asante sana mkuu
Je mbuzi hao nawapata mnada gani?
 
Nenda Tanga vijijini huko ndio mbuzi wa Bei Poa wanapatikana.

kisha njoo uuze Dar kwa wauza supu na kwingineko
Je unaweza nieleza chochote kuhusu hii biashara?
Mfano mnada wa mbuzi wa Bei nzuri na sehemu ya kuwauza
Pia Kama una rafiki au ni wewe mwenyewe utakayenisaidia au kuniongoza kwenye hichi kipindi Cha ugen?
 
Nina idea kama hii ya kwako, nimeongea na classmate wangu mmoja ni diwani huko, ameniambia maeneo mengi ni heka mbili ndiyo yanapatikana ki rahisi. Hitaji language ni heka tano.
 
Nina idea kama hii ya kwako, nimeongea na classmate wangu mmoja ni diwani huko, ameniambia maeneo mengi ni heka mbili ndiyo yanapatikana ki rahisi. Hitaji language ni heka tano.
Mm nikipata heka Moja tu itanitosha
Tatizo ni hilo nililoahinisha hapo juu
 
Salamu nimeipokea....
Naanza hv;

Mosi mtegemea cha nduguye hufa maskini, hivyo huyo unaemtegemea akusaidie ktk hio project, usimpe 100% coz watu hawaaminiki hasa unapokuwa huna kitu.

Pili Project iliyopo akilini mwako ni kubwa sana, kiasi kwamba huwezi kuanza nayo, kwa sababu kuu mbili;
∆ Hauna uwezo wa kusimama ww kama ww kimtaji (kutokana na maelezo yako)
∆ Hauna uzoefu nayo hata kdg. Ikumbukwe kuwa ujasiriamali n kubeti i.e kuna matokeo hasi or chanya.

USHAURI
Anzia hapo ulipo.
Anza na miradi midogomidogo itakayokupa nguvu ya kuelekea kwenye project uloikusudia.
 
Hii ni paint ya msingi sana kwangu
 
Back
Top Bottom