Nina mdogo wangu alimaliza form 6 mwaka jana katika moja ya shule zinazomilikiwa na serikali hapa nchini,lakini cha kushangaza akapewa mkopo 0%,kutokana na uwezo wa familia yetu kuwa mdogo,tulimshauri asiende chuo asubiri hadi mwaka huu ndio aende,cha kushangaza tena mwaka huu wamemtupa kwenye group ya previous loanees na wakati dogo hajawah hata kulamba sent ya bodi!nisaidieni nin cha kufanya kumsaidia huyu ndugu yangu ili angalau nae aweze fikiriwa kwenye hiyo mikopo.asanten[/QUkuna form za appeal,ajaze hzo na zisainiwe na dean of student wa chuo alichopangiwa then aunganishe na evidence za kuonyesha hana uwezo kbs hlf AZIPELEKE MWENYEWE bodi(asiache eti chuo ki2me) aonane na m2 wa kitengo cha APPEAL amweleze ukweli atamsaidia tu. Mi ni mmoja wa wahanga wa hilo tatizo nlipewa 40 percent but nlifight wakanipa 100 na nmesoma mpaka nmemaliza