exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Mwenye mtaji wa kuanzia 1.5 na kuendelea anaweza fanya kitu gani????
Kemtaji wa hiyo pesa ni mkubwa sana. naomba nijue kwanza jinsia yaki ke au me?
Thanks mkuu nimependaaaHiyo unaweza kuwa na ka stationery kazuri tu
computer 250K
simple printer na scanner sijui bei ila tenga kama 500K
Then unaweza kutafuta ka fridge ka kizushi ukaweka vinywaji baridi tenga kitu kama 500K
tafuta frem simple tu hata kwa 100K per month unapata.
Then hiyo kitu kama 150K unaweza kuongeza vitu kama cards, textbooks, kalamu etc etc
cha umuhimu tafuta site nzuri tu kwa hivo vitu vyote am sure per day hutakosa net income hata 25K
pia unaweza tafuta camera simple uwe unapiga na passport size yaani wewe tu mwenyewe uamue
kila la heri
KweluHiyo unaweza kuwa na ka stationery kazuri tu

kama upo dsm nenda manzese midizini tafuta meza kisha nenda kariakoo kachukue sendo au pamba kali kwa bei ya jumla peleka pale kamwage na uanze kufanya biashara utafanikiwa.