ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,303
Nipo na kamtaji kama ml 2 hivi nataka kuanzisha play station hapa town napoishi...kwa wenye uzoefu haka kabiashara kapoje wakuu upande Wa maslahi yake na changamoto zake...Asanteni
DuuhBora katafute shamba ukodi na kulima utapata faida nzuri baada ya miaka 3 unaweza hata kumiliki duka la electronic.