Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,685
Heshima kwenu wakuu...dogo langu aliapply chuo cha uhasibu Arusha njiro ngazi ya cheti kwenye IT...kwenye kuripoti ikaonekna chuo walisahau kuingiza jina lake wakati wanatuma majina tamiseni...

Sasa ni week ofisi ya usajili inaniambia kuna shida ya network saver ya Tamiseni so wanshindwa kuongeza majina ya wanafinzi waliosauliwa kutumwa majina yao..

Je kuna ukweli kuhusu hili? Ni njia gani nitumie kujua ukweli katika hili kwani dogo anasifa kabisa za kujiunga na chuo ngazi ya cheti...Je niendelee kusubiri kama wanavyoniambia au nianze kutafuta chuo kingine wakuu? Naombeni ushairi wenu kwenye hili!
 
Nenda mahakamani kawashtaki na watakulipa kwa uzembe wao..

vita ni vita
 
Kama unaweza kwenda nacte tia mguu haraka.
 
Kuna namna yeyote naweza wasiliana na nacte wazee..hata kwa number ya simu? Nisaidiwe number yao ya simu niwapigie kujua moja please!
 
Back
Top Bottom