Msaada wa Mawazo kuhusu duka la jumla la vinywaji

Padidu G

Member
Jun 25, 2021
18
20
Natumai Mu Wazima Wa Afya Naomba niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zangu Za Huku na kule Kuna sehemu nimepita nimeona wanapata taabu Sana kupata mahitaji ya Jumla {Wauza Maduka}

Nikawa Nimepata Idea ya kufungua Sehemu ya kuuza vinywaji vya jumla (Nilikua Naomba msaada wa kuhusu upataji wa vibali garama zake na mengineyo

Ahsanteni.
 
Nipigie 0685138073 nikupe maelekezo
 
Back
Top Bottom