Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Nimekupata mkuu, nilidhani 7.5 ni bei pekee ya printer.Milion 7 Mkuu
Nimekupata mkuu, nilidhani 7.5 ni bei pekee ya printer.Milion 7 Mkuu
Printa yangu L800 ina tatizo la kutoa mistari ktk picha, unawezaje kutatua hili tatizo? nimeshajaribu kila njia kuclean head, nozzle na kila njia. NisaidieMimi ninayo nimetumia mwaka sasa haija wahi kusumbua na hela niliyo nunulia ilisha rudi
Nawatakia pasaka njemaaa....!
Naomba ushauli nataka kufungua photo studio ya kawaida kabisa sasa sijuinianzie wapi na sijui vifaa vyakevina ghalimu pesa ngapi naomba msaada wa mawazo na akili iliniweza kufanikisha hilo.asanteni
Nina Uzoefu Wa Hizo Kazi 3 Yearz
Tools Zinazohitajika
1. Camera {kwa uzoefu wangu Tafuta Canon Eos 7D, au 5D Au DSLR YOYOTE. Hapa Utapata Picha Yenye Autofocus Kubwa Na Clear}
2. Utahitaji Photo Printer {Kama Huko Vizur Chukua Kubwa Za 30M Lakin Pia Utahitaji Printer Ndogo Kwa Ajil Ya Express Services! Au Ndogo Za Epson L800! Hiz Ni Econom Hazitumii wino mwingi! Na Pia Ni Ngumu}
3. Studio Lighting Tool
Kwa Indoor Hapa Utahitaji Taa Za Studio Kawaida Auto Ambazo zinadetect Mwanga Zenyewe! Utahitaji Reflector Kwa Classic Photograph Hii Itatumika Hata Outdoor! Pia Utahitaji Umbrella Photo Lighting Kwa Indoor Shots. External Flash! Kwa Ajil Ya Kukupa Mwanza Safi Katika Outdoor Shot. Usisahau Background. Ingawaje PS imerahisisha Now Days
4. Photo Editing Software
Kwa Ulimwengu Wa Sasa Editing Software Ni Kitu Cha Muhimu Hapa Napendekeza Adobe Photoshop CS5! Photoshine! Na Photoscape.
4. Photo Materials
Hapa Namaanisha Photo Frame! Bahasha! Mikasi! Make Up Tools!
5. Storage Devices
Kila Kaz Unayofanya Lazima Uhifadh! Ingawaje Utakuwa Na Editing Computer Usisahau Kutenga External Hard Disk Za 1TB Kwa Usalama zaid wa Kumbukumbu za wateja.
6. Scanner
Hii Ni Kitu Muhimu Sana Na Pesa Ipo Hapa Kwan Watu Weng Wanakuja Na Picha Zao Za Zaman Kutaka Zitolewe Upya! Nying Za Marehemu.
Vipo Ving Mkuu Ila Kama Utahitaji Mpiga Picha Nipo Hapa Mkuu Sina Dili!!
0786143441
mkuu hii CANON EOS 7D unamaanisha canon mark2 au ni ipi? maaa nime google CANON EOS 7D nimeletewa CANON EOS 7D Mark2
mnakosea kufananisha mark 2 na nikoni d 40..mark 2 ni toleo la karibuni wakati iyo d 40 ni toleo la zamani fananisha nikon d 5100 au d 7000 nikon na na izo mark2 au 3..izo d 40,60,80 na 90 waliacha kutengeneza wameingia katika d 3000 na kuendelea..
kalagabaho EOS 7D Mark II Ni Camera Kali! Hata Hanscana Na Khalfan Wanatumie Hzo!! Lens Hutegemea Kwa Matumiz Yap! Kwa Ajil Ya Shooting Tafuta Nikkor f/4_5.6, 60 -330m!
55mm mpaka 110mm inategemeana na shughuli unayotaka kuitumia wewe izo mm hazihusiani na uimara au ubora..ntakapikua karibu na izo lens ntakupa ufafanunuzi kwa maandishi..wewe unataka kutumia katika shughuli gani..
55mm mpaka 110mm inategemeana na shughuli unayotaka kuitumia wewe izo mm hazihusiani na uimara au ubora..ntakapikua karibu na izo lens ntakupa ufafanunuzi kwa maandishi..wewe unataka kutumia katika shughuli gani..
Nawatakia pasaka njemaaa....!
Naomba ushauli nataka kufungua photo studio ya kawaida kabisa sasa sijuinianzie wapi na sijui vifaa vyakevina ghalimu pesa ngapi naomba msaada wa mawazo na akili iliniweza kufanikisha hilo.asanteni
Kama Ukitumia Printer Ndogo Za L800 Tenga 7.5M ! Kama Utataka Printer Kubwa Andaa 30M + 7.5M kwa Mchanganuo Ufuatao;
1. CAMERA CANON EOS 7D Tsh 2.5M
2. PRINTER L800 Tsh laki 8 * 2 = 1.6 M
3. LIGHTING TOOLS full Package Ya Sony Lighting Set Yenye Taa + Reflector + Stand + Umbrella! Inaenda Tsh 1.2M
4. COMPUTER Naweza Weka Tsh 350K Ila Hutegemea Na Mahitaj Yako
5. STORAGE DEVICE ukipata External Ya 1TB Itatosha Hapa Naweka 150k
6. SCANNER hapa Naweka 200k Ila Pia Hutegemea
7. SOFTWARES hapa Naweka 30k Ya Bundle Tu Na Download Zote.
Hivyo Hapo Mkuu Mwanapropaganda
Darasa zuri sana hili