kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,860
Hii biashara inakua nzuri hasa maeneo ya karibu na shule, vyuo au makazi ya watu na ofisini.
yah ni kweli nafikiri muhimu kupata msimamizi mzuri...vipi una uzoefu nayo ndugu?
Hii biashara inakua nzuri hasa maeneo ya karibu na shule, vyuo au makazi ya watu na ofisini.
Kama Ukitumia Printer Ndogo Za L800 Tenga 7.5M ! Kama Utataka Printer Kubwa Andaa 30M + 7.5M kwa Mchanganuo Ufuatao;
1. CAMERA CANON EOS 7D Tsh 2.5M
2. PRINTER L800 Tsh laki 8 * 2 = 1.6 M
3. LIGHTING TOOLS full Package Ya Sony Lighting Set Yenye Taa + Reflector + Stand + Umbrella! Inaenda Tsh 1.2M
4. COMPUTER Naweza Weka Tsh 350K Ila Hutegemea Na Mahitaj Yako
5. STORAGE DEVICE ukipata External Ya 1TB Itatosha Hapa Naweka 150k
6. SCANNER hapa Naweka 200k Ila Pia Hutegemea
7. SOFTWARES hapa Naweka 30k Ya Bundle Tu Na Download Zote.
Hivyo Hapo Mkuu Mwanapropaganda
JE ZILE CAMERA ZA KUSHOOT KWENYE SHEREHE ZINAAPATIKANAJE NA JE LENSI YAKE IKOJE?
NA KAMERA ZA KUSHOOT LABDA MOVIE, KWAYA, AU CHOCHOTE KILE ZIKO AINA GANI NA ZIPI NZURI KWA SHUGHULI HIZO? NISAIDIENI WADAU WANAOJUA HAPA
Uko vizuriNina Uzoefu Wa Hizo Kazi 3 Yearz
Tools Zinazohitajika
1. Camera {kwa uzoefu wangu Tafuta Canon Eos 7D, au 5D Au DSLR YOYOTE. Hapa Utapata Picha Yenye Autofocus Kubwa Na Clear}
2. Utahitaji Photo Printer {Kama Huko Vizur Chukua Kubwa Za 30M Lakin Pia Utahitaji Printer Ndogo Kwa Ajil Ya Express Services! Au Ndogo Za Epson L800! Hiz Ni Econom Hazitumii wino mwingi! Na Pia Ni Ngumu}
3. Studio Lighting Tool
Kwa Indoor Hapa Utahitaji Taa Za Studio Kawaida Auto Ambazo zinadetect Mwanga Zenyewe! Utahitaji Reflector Kwa Classic Photograph Hii Itatumika Hata Outdoor! Pia Utahitaji Umbrella Photo Lighting Kwa Indoor Shots. External Flash! Kwa Ajil Ya Kukupa Mwanza Safi Katika Outdoor Shot. Usisahau Background. Ingawaje PS imerahisisha Now Days
4. Photo Editing Software
Kwa Ulimwengu Wa Sasa Editing Software Ni Kitu Cha Muhimu Hapa Napendekeza Adobe Photoshop CS5! Photoshine! Na Photoscape.
4. Photo Materials
Hapa Namaanisha Photo Frame! Bahasha! Mikasi! Make Up Tools!
5. Storage Devices
Kila Kaz Unayofanya Lazima Uhifadh! Ingawaje Utakuwa Na Editing Computer Usisahau Kutenga External Hard Disk Za 1TB Kwa Usalama zaid wa Kumbukumbu za wateja.
6. Scanner
Hii Ni Kitu Muhimu Sana Na Pesa Ipo Hapa Kwan Watu Weng Wanakuja Na Picha Zao Za Zaman Kutaka Zitolewe Upya! Nying Za Marehemu.
Vipo Ving Mkuu Ila Kama Utahitaji Mpiga Picha Nipo Hapa Mkuu Sina Dili!!
0786143441
ni kweli ngoja tuwasubiri wadau wazoefu watupe darasa zaidi.. binafsi nishakusanya baadhi ya vifaa tayari kwa kazi hiyo
Mrejesho, mafanikio vipi
Ni sh ngapi hii 600 d
Kama Ukitumia Printer Ndogo Za L800 Tenga 7.5M ! Kama Utataka Printer Kubwa Andaa 30M + 7.5M kwa Mchanganuo Ufuatao;
1. CAMERA CANON EOS 7D Tsh 2.5M
2. PRINTER L800 Tsh laki 8 * 2 = 1.6 M
3. LIGHTING TOOLS full Package Ya Sony Lighting Set Yenye Taa + Reflector + Stand + Umbrella! Inaenda Tsh 1.2M
4. COMPUTER Naweza Weka Tsh 350K Ila Hutegemea Na Mahitaj Yako
5. STORAGE DEVICE ukipata External Ya 1TB Itatosha Hapa Naweka 150k
6. SCANNER hapa Naweka 200k Ila Pia Hutegemea
7. SOFTWARES hapa Naweka 30k Ya Bundle Tu Na Download Zote.
Hivyo Hapo Mkuu Mwanapropaganda
asante mkuu nimekuelewa sanaKupiga picha ni kitu kimoja ila muonekano wa picha ni kitu kingine,wengi ni wapiga picha ila sio watengeneza muonekano wa picha,tafuta vitabu vya kujifunza upigaji picha wa weledi,soma rangi na mchanganyiko wa rangi,halafu chagua kada moja ambayo utaifanya kuwa nembo yako,mfano mpiga picha za harusi,photoshoot,nature na kadhalika hakikisha ni za kiwango kizuri fungua akaunti kwenye mitandao ya kijamii kama instagram,Pinterest,Facebook,Hookt,Flick nakadhalika anza kutangaza uniqueness yako utajulikana na utakuwa vizuri,japo sio process ya wiki au miezi 2,...Kila kazi inalipa na kazi ya kipaji chako huwa inalipa zaidi japo huwa kama ujasiriamali hulipa kulingana na jitihada na ukuaji wake.
Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona entry level DSLR ambazo hazizidi dola 450 hivyo Naamini hata ikiwa used mwaka 1 kwa bei hiyo(850k) naweza bahatika hapa bongo .Camera nzuri kwa bajeti ya laki nane?? Hebu kua serious kidogo mkuu.
wabongo wengi hawana ufahamu sana na DSLR zipo kupatana bei hizo japo hutapata mpya kabisa na model ya karibuni ila utapata. kuwa makini na hao jamaa ambao hawana namba za Tz ni matapeli,Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona entry level DSLR ambazo hazizidi dola 450 hivyo Naamini hata ikiwa used mwaka 1 kwa bei hiyo(850k) naweza bahatika hapa bongo .
Ni kwa kuanzia tuu mkuu mambo yakikaa vyema nitachukua camera nzuri na ya kisasa zaidi.