vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
ngoja mtoto azaliwe halafu ufanye dna.wala usisumbuke kuewaza kitu hicho kila mtu atakuja theory yake,unaonaje?
Nalia....... nalia......... mwanaume mwenzangu anavyoibiwa halali yake hivi lini sisi wanadamu tutaogopa kufanya hizi dhambi kubwa kubwa na ndogo ndogo ili tuwe wakamilifu tayari tayari kukutana na mola huku hali tukiwa wasafi kwenye roho zetu na viwiliwili vyetu.Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
Sasa unauliza majibu na wewe bwana? Wewe unategemea kukalike?what if mtoto atakua sio wa mume kutakalika kweli humo ndani
Sikumbuki kukuona ukikemea wanaume wenye dilema kama hizi!I stand to be corrected though.....!Acheni kushauriana umalaya!yaani yupo kwenye ndoa na hapohapo ana mwanaume mwingine!
Shame on her!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5 iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na PIA ana Mwanaume mwingine nje.
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
Hii thread inazidi kunikumbusha umuhimu wa DNA kwa watoto ingawa majority ya SHEs walinipinga
Vkessy, subiri akizaa ndio utajua maana ya "mtoto mtembezi atakula miguu yake"!!