Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Habari zenu wandugu. Napata tatizo kupata verification number, mwanzoni nacte waliniambia hawana data zangu, nikawasiliana na chuo wakaniambia wametuma, Ijumaa nikajaribu tena kuaply ver no. Wakaniambia nisubiri masaa 72, jana baada ya hayo masaa 72 wananiambia tena hawana taarifa zangu! Naomba mwenye namba ambazo wanapokea au mwenye msaada wowote anisaidie namna ya kufanya. Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app