Hongera Mkuu. Ngoja nikufanyie wepesi, nakutumia joining Instructions kabisa.mawasiliano nahtaj
Mkuu naona upo moto katika kumfanyia wepesi hadi join kuipataHii hapa ni form ya Kujiunga Ilboru.
Fanya hima uidownload, kisha mawasiliano yake utayapata kwenye ukurasa (page) ya kwanza.
Hahaha, Mkuu yatupasa kuwasaidia wenzetu hasa wadogo zetu. Wakasome kwa bidii, ili wasilete kisingizio kuwa Oooh, nilichelewa kupata mawasiliano ya Shule.Mkuu naona upo moto katika kumfanyia wepesi hadi join kuipata
Asante mkuuHahaha, Mkuu yatupasa kuwasaidia wenzetu hasa wadogo zetu. Wakasome kwa bidii, ili wasilete kisingizio kuwa Oooh, nilichelewa kupata mawasiliano ya Shule.
Unampa na zaidi ya kile anachokitaka. Ukisoma maelezo yake, huyu anataka kuulizia tu joining. Hakuna kingine.
The End.. kuja huku umsaidie mwenzetu, wewe ni mtundu wa hayo mamboMnisaidie mawasiliano ya shule ilboru arusha ikiwezekana namba ya headmaster
Usijali Mkuu wangu.Asante mkuu