Msaada wa Mawasiliano [Email add, Tel No]

Msaada wa Mawasiliano [Email add, Tel No]

Magehema

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
428
Reaction score
28
Msaada wana JF, nahitaji kuwasiliana na mama Justa Mwaituka, mkurugenzi wa KIWOHEDE, nimemjaribu namba na email add iliyopo kwenye website ya taasisi lakini vyote imeshndikana, email imebounce back, namba naambiwa haitumiki kwa sasa.

Kama unayo pls nisaidie, ni suala la kikazi!
 
Back
Top Bottom