nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Wadau, Xray results ni kuwa mguu wa mdogo wetu, Mwanamiraji Hamisi, aliyegongwa na gari ya serikali, BOT, SU 36797, tarehe 24/06/2016 haujaunga na ana maambukizi (infeksheni). Anahitaji kuungwa UPYA kwa vyuma na operation kuondoa usaha (x ray reading). Gharama zake ni TZS 450,000/= hapa Morogoro referal hospital (kwa mujibu wa specialist wa mifupa). Kwa sasa tumefanikiwa kupata 170,000/= Asante Pascal Ntunda, Stanslaus Nyembea na Edwin Otaru. Matibabu yatafanyika kesho tukifanikiwa kupata kiasi tajwa. Wadau wengine tuungeni mkono....