Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
Asante mkuu,nina simu ya kawaida sana tecno ya button,nimejaribu kuiweka bond hata kwa elfu 8 imeshindikana watu wanalia ukata ndio maana nimeona nije nijaribu huku.Angalia isijekuwa tetenus mkuu, utakatwa mguu, na kama imesambaa mwili mzima basi huwa hainantiba. Pia nakushauri uza smartphone uende hospitali. Huku ukisubiri mtu wa kukusaidia elf 20
Kumbe JF hata tecno ya batani inakubali tu!!!!Asante mkuu,nina simu ya kawaida sana tecno ya button,nimejaribu kuiweka bond hata kwa elfu 8 imeshindikana watu wanalia ukata ndio maana nimeona nije nijaribu huku.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].jamii forum!Angalia isijekuwa tetenus mkuu, utakatwa mguu, na kama imesambaa mwili mzima basi huwa hainantiba. Pia nakushauri uza smartphone uende hospitali. Huku ukisubiri mtu wa kukusaidia elf 20
hapa kuna ukakasiAsante mkuu,nina simu ya kawaida sana tecno ya button,nimejaribu kuiweka bond hata kwa elfu 8 imeshindikana watu wanalia ukata ndio maana nimeona nije nijaribu huku.
Ni kweli mkuu nipo kijiji kinaitwa IJAKA wilaya ya kongwa dodoma .pole mleta mada...
upo wapi ? unataka uende hos p gani ? una uhakika hiyo 20000 itatosha ?
nimeuliza hayo maswali kwa sababu unaweza kukuta upo eneo ambalo memba wa hapa yupo na akakugea msaada wa karib hata kukulipia hayo matibabu. au ukifika hosp utoe adress ya hosp husika ili watumiwe hiyo hela direct na wewe upate matibabu.
Ukakasi Upi sasa hapo? Mnajifanya mna maswali dadisi wakati hamna Lolote.hapa kuna ukakasi
Ina kamera mkuu lakini najaribu kuweka picha nashindwa,Kumbe JF hata tecno ya batani inakubali tu!!!!
Tuma picha ya jeraha useti na tarehe uliyopiga kwenye hiyo picha hapo msaada utakuja kwa speed ya 4G Ila pole sana.
Asante mkuu niko kijiji cha ijaka,kongwa huku na kwa hapa jirani ni kibaigwapole sana.ungesema uko wapi ,na unataka kwenda hospital gani?.kuna madaktari wengi tu uku itakua rahisi pia kupata msaada na waombe mods waamishe huu uzi kwenye ili jukwaa
Mkuu nimeomba hicho kiasi ili nifike hospitali tu basi maana hali inabadilika kila siku,naona bora ikanibadilikie hospitalipole mleta mada...
upo wapi ? unataka uende hos p gani ? una uhakika hiyo 20000 itatosha ?
nimeuliza hayo maswali kwa sababu unaweza kukuta upo eneo ambalo memba wa hapa yupo na akakugea msaada wa karib hata kukulipia hayo matibabu. au ukifika hosp utoe adress ya hosp husika ili watumiwe hiyo hela direct na wewe upate matibabu.
Nitashukuru mkuu namba ni 0693265348Ukakasi Upi sasa hapo? Mnajifanya mna maswali dadisi wakati hamna Lolote.
Mleta mada nakuomba Weka number zako hapa tukutumie chochote kitu.