mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Sep 9, 2012 #1 Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga, 1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ? 2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI " Natanguliza shurani,
Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga, 1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ? 2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI " Natanguliza shurani,
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Sep 10, 2012 #2 1. Kigego 2. Ahirisha