penitentiaries
Member
- Jun 15, 2015
- 73
- 9
mkuu ina maana hao wanawake hizo mimba wanajitungisha wenyewe? sema wote , wote ni sex maniac...wote wanacheat hakuna cha mme wala mke....wanawake ni victim kwa kuwa matokeo ya tendo lazima yamfichue...mimba!
Hongera kwa kufikiri nje ya box, lawama kwa mwanamke tu utadhani tunajitiaga wenyewe
Hivo tujadili sex maniac au takwim za mkemia?
Logic yangu ni kuwa wanawake walio ktk ndoa/mahusiano ndio wanachepuka
Hatuwez jadili takwim wsla neno "maniac" kwa kuwa awali binafsi nilishaelezea ktk post yangu.watu walinishambulia sana kwa kutembea na wake za watu.Ukweli ni kuwa karibu 50% ya wanawake walio ktk ndoa au mahusiano they are not happy
Nime google na hata kupitia google translate.neno maniac na kwa kiswahili halipo
Hapo sasa ....ila kuhusu twakim za mkemia... its a disaster na inasikitisha sana... wanawake wana roho mbaya sanaHivo tujadili sex maniac au takwim za mkemia?
Hongera kwa kufikiri nje ya box, lawama kwa mwanamke tu utadhani tunajitiaga wenyewe
wewe ni mjinga kwanza ni jambo la kheli maana ikifikiwa watu wakapima DNA kuna kuwa na shida tayari , kwa hiyo hiyo takwimu hata ingekua 99% ni sawa . fikiria kwa makini wanaoenda kupima DNA wanasababu zipi ?