Msaada wa mahusiano plz

Msaada wa mahusiano plz

Mimi miaka yangu 32 na Dgo ana 20 Mkuu,lkn kwa kawaida mtu ukisex nae lazma akugande tu kwann huyu hayuko hivo?


Wee umeenda hata shule na kupata cheti.?

Kama una cheti halali, basi hujijui, kama bado unasoma, shule zikifunguliwa rudi mapema shule..
 
Ulicheza mechi chini ya kiwango alichotegemea.
 
Mimi miaka yangu 32 na Dgo ana 20 Mkuu,lkn kwa kawaida mtu ukisex nae lazma akugande tu kwann huyu hayuko hivo?
Mkuu kwan ulimkuta bikira?, kama sio bac jua aliokutana nao kabla yako ama baada yako ameona wanakuzidi kiwango hivyo huna umuhimu wowote kwake
 
Nimekutana na msichana mdogo sana ni mwanafunzi mhitimu wa form 4,nikamuaproach kanikubalia tumefikia kuwa wapenzi kwa siku mbili tofauti,cha ajabu hajawahi kunipgia simu hata siku moja na tuna miezi 2 tangu tujuane. Je, kukaa kimya kwake kunaashiria nini?

Naomba kujuzwa plz.
Acha kuharibu watoto wa wenzio.... Unafikiri ni jambo la maana sana umeleta hapa jukwaani?? Unataka ushauriwe nini kwa upuuzi ulioandika???
 
Unaweza kua Na miaka mingi but still ukawa mdogo kiakili akili yake haijakomaa hajakutana Na mikikimikiki ya kimaisha na mahusiano

But why umeamua kudate Na mdogo wako? Miaka 30 inakunyemelea ww
Mkuu hyu ni MTU mzma kbsa hata sharia inatambua hlo
 
Kvp huyu teyar ana 20 Mkuu nmekithi vigezo
Subiri ukamatwe ukaiambie Mahakama hayo madudu yako. Mtu umesema amemaliza form4 kwahiyo bado kuna kuendelea na Shule halafu unasema sio mwanafunzi? Mpigie Simu yule Polisi wa Arusha aliyemla yule mdada wa Mazinde Girls kule jela akupe akili za jela maana za uraiani hazikufai
 
Back
Top Bottom