Mabugamtundu
Member
- Jun 3, 2021
- 15
- 8
Habari wana jf nimeitwa kwenye interview trc chang'ombe workshop.. nimefikia ubungo riverside, naombeni mwenye kupaelewa napanda gari la wapi na nashuka wapi mpaka nifike hapo workshop za shirika la reli chang'ombe? Ahsanten sana