Msaada wa Maandishi ya kijapani.

Mwanyoro

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
635
457
Wadau naomba msaada mwenye uelewa au sehemu ninaweza kubadilisha lugha katika Radio ya Gari kwani inaonesha kijapani mimi nipo mbeya sehemu gani ninaweza kubadili Lugha ya Radio nabofyabofya kwa kubahatisha
 
pole mkuu hiyo haibadiliki....jamaa yangu alihangaika sana mwishowe akaishia kubadili radio....hilo gari lilukuwa only meant for Japanese
 
Mkuu samahani usihitimishe - inawezekana na wadau wanafahamu namna ya kutafsrili
 
Wadau naomba msaada mwenye uelewa au sehemu ninaweza kubadilisha lugha katika Radio ya Gari kwani inaonesha kijapani mimi nipo mbeya sehemu gani ninaweza kubadili Lugha ya Radio nabofyabofya kwa kubahatisha
mkuu endelea kutumia radio yako kama ilivyo software ya kijapan iliyopo humo kuibadilisha ni dola 2000,na software inatumwa online na ina EXPIRE BAADA NUSU SAA BAADA YA KUANZA KUIFANYIA KAZI ,.POLE
 
Duuuh mbona fedha nyingi sana si Bora ninunue Radio nyingine
 
Wadau naomba msaada mwenye uelewa au sehemu ninaweza kubadilisha lugha katika Radio ya Gari kwani inaonesha kijapani mimi nipo mbeya sehemu gani ninaweza kubadili Lugha ya Radio nabofyabofya kwa kubahatisha
Kubofyabofya mashine bila mpango ndio kuziharibu.
 
Radio zina option ya kubadili lugha hasa zile ambazo ni original kwa model ya gari. Mafundi watakuzingua tu. Tafuta solution google na youtube. Nilipata same problem nikasolve kwa mtandao.
 
Download app ya translate halafu piga picha maandishi hayo halafu yabadilishe kiingereza simple
 
Nunua radio nyingine, hizo za ki Japan wala hasishiki mawimbi ya radio bongo vizuri, hasa hasa frequency ya FM.

Hii ndo itakuwa best option ukinunua radio bongo.
 
जहउनल लनहहचद िति७लब लमकजहजबगगवउगवउदड नबजलजगतय
Na iman utakuwa umenielewa
 
Back
Top Bottom