Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,678 Reaction score 5,166 Sep 14, 2018 #1 Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani? Nawasilisha
Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani? Nawasilisha
jurist JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 271 Reaction score 498 Sep 14, 2018 #2 Umesoma CIVICS???
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,074 Sep 14, 2018 #3 jurist said: Umesoma CIVICS??? Click to expand... mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia nini
jurist said: Umesoma CIVICS??? Click to expand... mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia nini
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,074 Sep 14, 2018 #4 adna yuzo said: Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani? Nawasilisha Click to expand... atatwaa uraia wa USA kwa kuzaliwa.
adna yuzo said: Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani? Nawasilisha Click to expand... atatwaa uraia wa USA kwa kuzaliwa.
jurist JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 271 Reaction score 498 Sep 14, 2018 #5 el nino said: mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia nini Click to expand... Nimesaidia kujibu swali kwa swali. Acha kudekeza UBONGO.
el nino said: mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia nini Click to expand... Nimesaidia kujibu swali kwa swali. Acha kudekeza UBONGO.
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,405 Sep 14, 2018 #6 Mkuu mtoto anaweza kuwa raia wa nchi zote mbili kwanza atakuwa raia wa Marekani kwa kuzaliwa (citizenship by birth) alaf pia anaweza kuwa raia wa Tanzania hii inatokana na wazazi kuwa watanzania
Mkuu mtoto anaweza kuwa raia wa nchi zote mbili kwanza atakuwa raia wa Marekani kwa kuzaliwa (citizenship by birth) alaf pia anaweza kuwa raia wa Tanzania hii inatokana na wazazi kuwa watanzania
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,933 Reaction score 11,865 Sep 15, 2018 #7 Atakuwa raia wa Tanzania kwa kurithi ila itambidi akifika miaka 18 akane uraia wa nchi moja.
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,678 Reaction score 5,166 Sep 15, 2018 Thread starter #8 Sawa ahsanteni
666 chata JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,710 Reaction score 4,046 Sep 15, 2018 #9 Atakua raia wa marekani, ila endapo akija Tanzania anaweza kuupata uraia wa kurithi.