teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 203
DriverPack Solution | Download free driver update softwarewasalaam wakuu!!!!
kichwa cha habari chajieleza, pc yangu
haitoi sauti na hii imesababishwa na
kupiga window upya audio driver
haijawa installed.
nawasilisha
Kwanini asiitumie mkuu?Bado unatumia windows 7 mpaka leo?
Microsoft wanazifanya kuwa slow ili uhamie windows 10 kwa lazimaKwanini asiitumie mkuu?
Labda kama utaruhusu updates japo pia sijui kama usemalo ni kweli maana wanaweza msue kwa kufanya hivyoMicrosoft wanazifanya kuwa slow ili uhamie windows 10 kwa lazima
Wajanja hao maana wanabadilisha EULA na kuondoa support kwa obsolete operating systems. Mfano hai ukinunua iPhone halafu ukaenda kuirepea unaumwa umekiuka makubaliano na badae wanadisable hicho kifaa ulichoweka au ulichorepeaLabda kama utaruhusu updates japo pia sijui kama usemalo ni kweli maana wanaweza msue kwa kufanya hivyo
Wanadisable vipi wewe? Hiyo kitu waliifanya watu wakapiga kelele wakarelease patch ya kuondoa siyo kweli kwamba ukitengeneza iphone inakuwa disabled.Wajanja hao maana wanabadilisha EULA na kuondoa support kwa obsolete operating systems. Mfano hai ukinunua iPhone halafu ukaenda kuirepea unaumwa umekiuka makubaliano na badae wanadisable hicho kifaa ulichoweka au ulichorepea
Kwa issue ya apple wanafanya hivyo endapo ukiservice kwa unauthorized dealer, mfano kuna jamaa alibadili screen ya iPhone 5s k/koo ila screen ikawa haifanyi kazi ipasavyo na kuna mada inatoka kabisa kufanya kazi touch yake, hivyo italazimu mtu kufanya matengenezo kwa authorized dealers tu,Wanadisable vipi wewe? Hiyo kitu waliifanya watu wakapiga kelele wakarelease patch ya kuondoa siyo kweli kwamba ukitengeneza iphone inakuwa disabled.
Na microsoft hawezi kufanya ujinga wa kufanya PC iwe slow maana wanaweza msue kama ilivyotokea kwa iphone kufanya simu zake za iphone 6 na 5 zipunguze performance ili kulinda battery life, si ulisikia walimfungulia kesi wakidai anawalazimisha watu kununua iphone matoleo mapya
HApana siyo kweli, hiyo ya kufanya service kwa unauthorized dealer walifanya watu wakalalamika haikupita hata siku mbili ikatoka patch kutoka kwao wakaondoa hiyo kitu. Hii kitu kwa sasa hakuna kabisa.Kwa issue ya apple wanafanya hivyo endapo ukiservice kwa unauthorized dealer, mfano kuna jamaa alibadili screen ya iPhone 5s k/koo ila screen ikawa haifanyi kazi ipasavyo na kuna mada inatoka kabisa kufanya kazi touch yake, hivyo italazimu mtu kufanya matengenezo kwa authorized dealers tu,
Kwa Microsoft hiyo imekuja kutoka na na issue za kuhamasisha watu ku tumia windows 10 na pia urahisi wa kuactivate na ku tumia pirated copy of windows na ndogo maanasiku hizi wanatumia KMS (key management server) kuactivate windows kila baada ya siku 180
Aisee,HApana siyo kweli, hiyo ya kufanya service kwa unauthorized dealer walifanya watu wakalalamika haikupita hata siku mbili ikatoka patch kutoka kwao wakaondoa hiyo kitu. Hii kitu kwa sasa hakuna kabisa.
Bado wana support windows 7 kufanya hivyo kunaweza kuwapelekea kupigwa fine ya millions of dollars, vitu havifanyiki kwa kuamua amua tu kuna vyombo vina wagovern walaji.
Windows na operating za simu ji tofauti na tayari windows 7 haipati features updates hivyo haitabadilika chochote hata ifikie 2050Microsoft wanazifanya kuwa slow ili uhamie windows 10 kwa lazima
Pc yako ni ipi?wasalaam wakuu!!!!
kichwa cha habari chajieleza, pc yangu
haitoi sauti na hii imesababishwa na
kupiga window upya audio driver
haijawa installed.
nawasilisha