Msaada wa Link/web | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Link/web

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kindafu, Jan 13, 2012.

 1. k

  kindafu JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 982
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Nawasalimu wanajamvi!
  Naomba msaada wa yeyote aliye na link itakayoniwezesha kupata "Updated Infos" za:

  i. Idadi ya madaktari Tanzania na uwiano wa wagonjwa kwa kila daktari
  ii. Kama kuna unyumbulisho wa idadi hiyo na uwiano huo ki-mkoa na ki-wilaya
  iii.Idadi ya wauguzi na uwiano wao kwa wagonjwa
  iv. Idadi ya "Trained Social Workers" na jinsi soko lao la Ajira lilivyo Tanzania.

  Natanguliza shukrani za dhati!
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hospitali ya mkoa mwanza ni 1:150 per day hii ni mwaka 2007
  MD:patients ni 1:25,000 nayo ni mwaka 2008 (mwanza)
   
 3. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,831
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  kama umeserch google hajuona...pole sana!
   
 4. k

  kindafu JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 982
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Pole tu hainisaidii ndugu yangu! Nimejaribu ku-google "www.tanzania.go.tz" na kujaribu kupitia wizara mbali mbali sikupata ndo maana nkaomba msaada!
   
 5. k

  kindafu JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 982
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Asante sana mkuu! Ungaliweza kunipatia "source" ya hizo data pengine ingaliniwezesha kupata na za mikoa mingine kama sio taifa kijumla!
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hizo data nilizipata kipindi nafanya kazi USAID, data zinatofautiana sana kutokana na maeneo, kwahiyo ukifanya hii kitu kitaifa variation ni kubwa sana and there is no reality. Well, unajua govt huwa inaficha ukweli kukwepa aibu lakini ukienda mwenyewe mahospitalini utapata hali halisi ya hizi ratio. baadhi ya links hizo hapo chini

  kcmc wanasema: The doctor : patient ratio in Tanzania is 1 : 26,000, whereas the recommended rate is 1 : 7,500. link Kilimanjaro Christian Medical Centre

  bugando wanasema: Tanzania has 1 physician per 50,000 patients, the lowest ratio of physicians to patients in the world. link Weill Cornell Bugando Program - Global Health | Weill Cornell Medical College

  harvard wanasema: In Tanzania, the ratio is upwards of 1 to 50,000. [wanakubaliana na bugando] link Wanted: Doctors for Africa | Harvard Gazette

  Nadhani utakuwa umepata mwanga sasa hivi
   
 7. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,831
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  wakati mwingine ndugu hiz data hawaziweke kwenye mtandao kwa sababu mahalumu,, chache sana zinakuwa ni sample data and not real what is underground...hali ni mbaya kwan specialist weng wako njee, thats why nikwa kwmbia ukikosa google jua hakuna,labda ufanya survial kila hosptal ya rufaa na nyingine kaka.
   
 8. k

  kindafu JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 982
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Big up sana mkuu! Nashukuru sana sana!
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  thanx too, tupo pamoja
   
Loading...