Msaada wa license key

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Habari wanajamii, pole kwa wale wote mlio athirika kwa namna moja au nyingine kutokana na mgomo wa madereva hope now mpo majumbani mmetulia.
Niende kwenye point Naomba mwenye licence key za ashampoo burning studio 10 aniwezeshe.
Natanguliza shukrani.
 
why usidownload software yenye key yake? maana hapo unabahatisha tu
 
Hii software ninepewa tu na mchizi lkn haina licence key.
So naweza i pakua ikiwa na key zake? Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:

http://onhax.net/ashampoo-burning-studio-2015-v1-15-serial-key-is-here-latest/ fungua link Hii mkuu
 


Mkubwa kama utakuwa hujapata kesho nitakutumia file zima. Lakini nikushauri kama unataka kutumia ashampoo kwaajili ya burning kibiashara, sio poa sana. Best burning software ni nero wala hutagombana na wateja wako. Software zingine zote za burning : ROXIO, NTI, ASHAMPOO .... Zitakuletea ugomvi haswa kwa wanaotumia original players.
 
Ni kwamatumuzi yangu binafsi tu mkuu wala si kwa biashara. Niwezeshe hiyo Nero basi kama ipo karibu niliyo nayo mimi ni trial.
 
Ni kwamatumuzi yangu binafsi tu mkuu wala si kwa biashara. Niwezeshe hiyo Nero basi kama ipo karibu niliyo nayo mimi ni trial.

download ashampoo 10.0.15 na Reg. key zake hapa https://www.sendspace.com/file/44wau7

Kama unatumia Nero 8.0 tumia key hizi
Nero 8
Serial Key
while installing please remove demo key and use this given key for full verion


1K22-2867-0K95-61K4-5000-CKAC-AA8X



kama unatumia Nero 8.2 tumia key hii
1K22-0867-0795-66M4-5067-6705-9642
 
ymollel Naweza pata activation code /key ya Windows 8.1
 
Last edited by a moderator:
ymollel Hiyo key haijawa successful, na hiyo link inaniambia niko wrong zone, check hiyo screenshot
 
Last edited by a moderator:
ymollel Hiyo key haijawa successful, na hiyo link inaniambia niko wrong zone, check hiyo screenshot


Basi kesho asubuhi nitakutumia hiyo activator kwa sendspace,.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…