Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Wa Laptop yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kachanchabuseta, Aug 22, 2011.

  1. Kachanchabuseta

    Kachanchabuseta JF-Expert Member

    #1
    Aug 22, 2011
    Joined: Mar 8, 2010
    Messages: 7,290
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    WanaJf naomba msaada wenu, kabla ya hayo nalipongeza hili jukwaa la Tech kwa
    kutoa msaada mkubwa kwa Jamii

    Mimi nina laptop ndogo yangu ya Acer( mfano wake kama hapo chini) nimetumia hii laptop kwa mwaka tokea niletewe na ndugu yangu
    last week imeanza kuniletea matatizo nikiweka kwenye power hawezi kucharge mpaka sasa reserve ya bettary iliyokuwa nayo imeisha
    siwezi kuwasha tena, nikitoa bettary na kuchomeka kwenye soketi moto hauingii.

    Msaada jamani

    Tatizo ni battery au wire wa kuconnect kwenye power?
    wapi wanauza spare kama tatizo ndo hilo?

    [​IMG]
     
  2. K

    Karzjr Member

    #2
    Aug 22, 2011
    Joined: Jul 18, 2011
    Messages: 22
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    tatizo ni hiyo adapta angalia hiyo adapta kama inawaka
     
  3. Kachanchabuseta

    Kachanchabuseta JF-Expert Member

    #3
    Aug 22, 2011
    Joined: Mar 8, 2010
    Messages: 7,290
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    Hii adapta haina sign ya kuwaka tokea nianza kuitumia
    nikichomeka kwenye power haoneshi kama moto umeingia au la

    Naweza pate wapi adapter mpya hapa Dar es salaam ili nijaribu?
    sitaki kupeleka laptop yangu kwa mafundi maana wataiaribu zaidi
    nataka nijaribu mwenyewe kwanza
     
  4. S

    ShockStopper Member

    #4
    Aug 22, 2011
    Joined: Apr 10, 2009
    Messages: 76
    Likes Received: 11
    Trophy Points: 15
    Kwanza pole,

    Pili, unaweza kujaribu repair ya adapter. Uwezekano mkubwa ni tatizo la cable yaweza kuwa imekatika ndani kwa ndani sababu ya kunja-kunjua.
    Lakini pia umeme usioaminika na matumizi ya generator zisizo na kiwango yanaweza sababisha adapter kuungua. Utaipeleka kwa fundi apime output kama ipo au la, kisha atakushauri kinachowezekana. Bado wapo mafundi wenye ujuzi wa kutosha na pia ni waaminifu. Kwa Dar unaweza kumtafuta Msamba pale KVD, Makweta wa pale Namanga jirani na BMK, Mbuya wa 3H Lumumba n.k.

    Tatu, unaweza jaribu kupata adapter mpya pale KVD, na hii itaokoa muda.
     
  5. G

    GHANI JF-Expert Member

    #5
    Aug 22, 2011
    Joined: Feb 18, 2011
    Messages: 685
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 35
    <br />
    <br />
    the best there jaribu adapter nyingine kama itakubali kucharge your computer kama isipokubali, inawezekana charging system ya computer yako ina matatizo so itakubidi umtafute mtaalamu.
     
  6. Mtazamaji

    Mtazamaji JF-Expert Member

    #6
    Aug 22, 2011
    Joined: Feb 29, 2008
    Messages: 5,972
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    mamatibwita hope tibwita ni mzima

    Je hiyo acer ni model gani ili tuchungulie huku kwenye internet technical specs zake na za adaptor zake na mambo mengineyo kama manual yake.

    Mfano Tatizo lolote la kiufundi la kifaa chochote kama una utundu kidogo basi kimbilio la kwanza nenda kwenye tovuti ya watengenzaji.. Kwa case yako wewe ni http://www.acer.com/worldwide/selection.html . Ukiwa huko unaweza kupata manual ya laptop yako amabayo ukisoma utajua jinsi ya kuanisha nini hasa chanzo cha tatizo.

    Kama vipi mwaga data zaidi hapa tukusaidie ku google naukupa ushauri zaidi.
     
  7. Kachanchabuseta

    Kachanchabuseta JF-Expert Member

    #7
    Aug 22, 2011
    Joined: Mar 8, 2010
    Messages: 7,290
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    asante kwa msaada wako
    namanga unayosema ni pale karibia na best bites? au kina nyingine?
     
  8. Kachanchabuseta

    Kachanchabuseta JF-Expert Member

    #8
    Aug 22, 2011
    Joined: Mar 8, 2010
    Messages: 7,290
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    Asante sana mtazamaji nitakupa more details soon
    maana laptop iko uswahilini kwetu
    Nitaomba msaada wako maana nikiwa home
    siwezi kufanya kazi kwa kutumia net
     
  9. Mtazamaji

    Mtazamaji JF-Expert Member

    #9
    Aug 22, 2011
    Joined: Feb 29, 2008
    Messages: 5,972
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    Ok maana usikimbiliekununua adaptorunaweza ukanunua dadaptormpyauakuta bado kuna tatizo. may be nipowe supply ndaniya maotherboard ina mushkeri .

    La sivyo ukitaka kununua Power adaptor nenda na hiyo laptop wanapoouza hizo power adaptor kabla ya kununua waambie wajaribishe kwenye laptop yako .

    Laptop ikiwaka basi tatizon ni ilikuwa ni powe adaptor . ikigoma kuwaka basi tatizo ni ndani ya laptop probabaly Power IC au power suply inasyosambaza moto kwenye mother board imeroga.

    Hi itakusaidia kuondoa bahati nasibu ya kununua kitu ambacho inawezekana sio tatizo

    Au kama kuna futari kwako nialike nije kuicheki fasta teh teh teh teh
     
  10. Kachanchabuseta

    Kachanchabuseta JF-Expert Member

    #10
    Aug 26, 2011
    Joined: Mar 8, 2010
    Messages: 7,290
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 135
    Asante mtazamaji

    sijui kama hizi details ni zenyewe
    Mfr.name: Delta Electronics LTD
    A/S Center (82)2-515-5305

    unaweza kunielekeza wapi dar naweza kwenda kutest kwa kununua adaptor?
    msaada jamani
     
  11. Mtazamaji

    Mtazamaji JF-Expert Member

    #11
    Aug 26, 2011
    Joined: Feb 29, 2008
    Messages: 5,972
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    Kuna mdau comment No 4 kakutajia maduka kadhaa kama KVD. unaweza jaribu hizo location

    Lakini kama nilivyookuliza mwanzo ungetaja model ya laptop yako ingesaidia zaidi ili kuelewa specs za hiyo adaptor. na kupata details zadi ya laptop yako Hizo details ulizotaja hapo juu naona ni jina la kampuni na number za simu. So hazina msaada sana.

    Cha kufanya ukienda kwenye hayo maduka unaweza kwenda na laptop yako pamoja na adaptor inayodhaniwa ni mmbovu.
     
Loading...