Msaada: Fundi mzuri wa kutengeneza laptop

Mpatanishi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,811
Reaction score
623
Habari zenu wana jf.
Ninaomba msaada wapi naweza kupata fundi mzuri wa kurekebisha laptop yangu.
Hii laptop nimeletewa kutoka nje ni lenovo B570e nimeitumia kama week mbili hivi ila hivi sasa baadhi ya button hazifanyi kazi.

Nimeuliza kuna jamaa ananiambia inabidi nibadilishe key board. Nimekwenda kko maduka kama mawili hivi hiyo key board hawana.

Vile vile nashindwa kujua nini hasa kimepelekea tatizo hili.

Naombeni kujuzwa wapi au duka gani nitapata key board? Na fundi mzuri pia kama atapatikana itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Definitely..its a keyboard Mr....nothing you can do than replacing it....Zanzibar ni nyingi sana hizo...mm.nipo hapa
 
Vile vile nashindwa kujua nini hasa kimepelekea tatizo hili.
mkuu kwa nnavyojua vimininika(liquid) za aina mbali mbali kama maji,soda,chai,juice na kadhalika ndo maadui wakubwa wa keyboard za pc,na pindi hata matone machache tu yakidondokea kwenye key(button) baada ya siku kadhaa kwa kawaida huwa inaanza kuzingua key(button) moja,na idadi kuendelea kuongezeka taratibu
 
Nimekusoma kaka. Ila niki change keyboard je mashine haitasumbua ya kama vile ndio kuitia ubovu mana si unajua vifaa hivi mfano simu ukishafungua tu na ku change kifaa tayari uimara wake unakua mdogo au ni tofauti na simu?
 
ukibadilisha keyboard mashine haitasumbua mkuu usiogope,hakikisha tu unapata fundi anaejielewa wa kufanya kazi hiyo na ikibidi uwepo wakati anabadilisha,maana ni kazi ya dakika chache sana.kwa pc mpya kama hiyo mafundi wanaweza pata tamaa ya kuchomoa na kubadilisha components mbali mbali. kila la kheri mkuu

pindi utakapoweka keyboard mpya hakikisha tu unaiweka mbali na vimiminika maana ni kama sumu kwa keyboard za pc,afadhali hata vumbi likiingia na kujaa unaweza kuifungua na kuifuta ikawa vizuri
 
Habari zenu wana jf.
Ninaomba msaada wapi naweza kupata fundi mzuri wa kurekebisha laptop yangu.
Hii laptop nimeletewa kutoka nje ni lenovo B570e nimeitumia kama week mbili hivi ila hivi sasa baadhi ya button hazifanyi kazi.

Nimeuliza kuna jamaa ananiambia inabidi nibadilishe key board. Nimekwenda kko maduka kama mawili hivi hiyo key board hawana.

Vile vile nashindwa kujua nini hasa kimepelekea tatizo hili.

Naombeni kujuzwa wapi au duka gani nitapata key board? Na fundi mzuri pia kama atapatikana itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Mpigie Sakour: 0754313350 Kariakoo
 
ukibadilisha keyboard mashine haitasumbua mkuu usiogope,hakikisha tu unapata fundi anaejielewa wa kufanya kazi hiyo na ikibidi uwepo wakati anabadilisha,maana ni kazi ya dakika chache sana.kwa pc mpya kama hiyo mafundi wanaweza pata tamaa ya kuchomoa na kubadilisha components mbali mbali. kila la kheri mkuu

pindi utakapoweka keyboard mpya hakikisha tu unaiweka mbali na vimiminika maana ni kama sumu kwa keyboard za pc,afadhali hata vumbi likiingia na kujaa unaweza kuifungua na kuifuta ikawa vizuri

Shukran kwa maelezo mazuri mkuu.
 
laptop yangu inalataa ku charge tatizo lipo wapi? charger iko sawa kabisa naomba msaada wanu hapa
 
Hiyo charger ni charger yake tangu mwanzo? Waone mafundi kwa msaada zaidi ila uwe makini wasiichakachue si unajua wabongo?!
 
Back
Top Bottom