Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Hahahahahaha. Tunashukuru kwa ushauri kaka.Dogo acha kufanya mapenzi kila siku, hiyo moja, mkeo anajua kabisa siku ambazo anaweza kupata ujauzito. mwambie hiyo siku ndo mkutane ikiwezekana ondokeni nyumbani mkalale sehemu tofauti kabisa na mazingira mlozoea. ikishindikana hilo nenda kamuone daktari. wote mkapime siyo necessaliry mwanamke ndo awe na matatizp possibly ni wewe ama wote
Mwaka mmoja tu mnaanza kuchanganyikiwa, je mngekaa miaka kama ya wenzenu si mngeongea wenyewe barabarani!
Majaribu kama hayo yapo na washindao siku zote hupata taji la furaha milele.
WanaJF, naombeni msaada wenu
Nimeoa mwaka jana, na nampenda sana mke wangu, nampenda sana, lakini toka mwaka jana sijabahatika kupata mtoto, ingawaje kuna siku nilimkuta analia, nikamuuliza unalia nn akasema, ameingia kwenye siku zake while ana hamu ya kupata mtoto, nikamwomba a-calm down though hata mm iliniuma sana.
Hatujaenda bado hosp, lakini naombeni msaada kama kuna watu mna xperience na haya mambo kabla sijaenda hospitali, na tumevizia siku za hatari lakini wapi, please, naombeni msaada wenu wapendwa, natamani sana mtoto.
Asante
WanaJF, naombeni msaada wenu
Nimeoa mwaka jana, na nampenda sana mke wangu, nampenda sana, lakini toka mwaka jana sijabahatika kupata mtoto, ingawaje kuna siku nilimkuta analia, nikamuuliza unalia nn akasema, ameingia kwenye siku zake while ana hamu ya kupata mtoto, nikamwomba a-calm down though hata mm iliniuma sana.
Hatujaenda bado hosp, lakini naombeni msaada kama kuna watu mna xperience na haya mambo kabla sijaenda hospitali, na tumevizia siku za hatari lakini wapi, please, naombeni msaada wenu wapendwa, natamani sana mtoto.
Asante
hongera sana dada, hongera sana, nisaidie ratiba ya chakula ulichokuwa unatumia wakati huo pamoja na mazoezi yalijumuisha nini na nini?Ingawa nina haraka mno ngoja nishare na ww story yangu, i searched for a bby for good 8 yrs, in forth year of my trial nilikuwa diagnosed na PCOS Polycystic Ovarian Syndrome ikimaanisha my ovaries arent producing any eggs yako dormant kabisa. Was getting my MP kila mwezi bila kukosa and ila ilikuwa ni irregular cycles i.e not stable. Before the diagnosis nilienda regency wakanipima Ultra Sound in the mid of the month hakuna activity yoyote iliyokuwa ikiendelea kwenye ovaries which isnt normal. So Dr akanipa clomid ili kustimulate ovaries kidogo nife sitaki kukumbuka what i went thru nikadevelop cyst instead ya yai. Baada ya kupata hiyo shida niliswear to my God sitakunywa dawa yoyote ili kutafuta ujauzito na ule uhusiano na yule kaka niliuvunja kuanza upya maisha yangu. Was ready to die childless kabisa.
Nikawa namanage PCOS symptoms maana haitibiki kwa kula three balanced meals a day na mazoezi kiduchu.
Last august nikaletewa mtt mdogoo nimtunze nikakubali, it was in Nov sikupata MP kupima +! Hata Drs wangu wotee wananijua wamegoma kuamini kuwa am 6 months preg now ver healthy. Wananiambia tu hatuna majibu ya kitaalamu why ur preg now. Was living my lyfe to the full nikiwa sitaki commitment as wabongo wengi wanapenda watoto sikutaka hizo stress kabisa, nakumbuka even a day nilivyoconcieve coz dat month i met my X once i.e once na ilikuwa 17th day of my cycle.
Sikuwahi kumeza dawa yoyote ya kuzuia mimba, sikuwahi kutoa mimba maisha yangu yote, ni mimba yangu ya kwanza.
Ushauri wangu kwako;
Mkapime mjue shida iko wapi, then change lyfe style kidogo tu three balanced meals a day wote wawili, siamini katika operations and medicines coz zina madhara makubwa, muhimu kuliko yoteeee RELAX ww na mkeo wote do it for fun and keep enjoying lyfe.
Last nasubiri kwa hamu my bby boy august ....!