Msaada wa kuweka background nyeusi kwenye SIM

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wanna jf naomba mwenyekujua anisaidie jinsi ya kuweka black background kwenye Simu ya Samsung Galax j7 prime. Yani isiwe wall paper background yote nninapo fungua ukurasa wa contact, message, wasp, na mengineyo yote kwenye Simu. Nashukuru
 
Subiri watakuja wataalam.
 
kwa kwa namna ulivyojieleza na ukimya huu, itakuwa kunachangamoto hapo ila vuta subra watakuja.
 
j7 prime kioo chake sio amoled hata ukieka nyeusi sidhani kama itapendeza.

nenda setting kisha themes utazikuta huko themes za kubadili muonekano. itabidi uwe na account ya samsung. maelezo zaidi nenda hapa

Nahitaji simu yenye background nyeusi
 
Nimeweza lkn picha zinatokea kama negative picture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…