Mkuu, kwa sasa muonekano wa JF umebadilika kidogo. Kwa Subscribe mara nyingi ipo kwenye menyu ya nukta tatu (…) au sehemu ya juu ya uzi. Kuhusu kuendelea na episode, fungua uzi kisha tumia Next/Previous Thread au search kwa jina la uzi. Kwa comments, unaweza kutumia bookmark ili kurudi ulipoishia. 👍