Msaada wa kutumia Azam

Msaada wa kutumia Azam

Mifwa

Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
56
Reaction score
19
Jaman wana Jf samahan! naomba kwa anayejua matumizi ya kng'amuz cha Azam nmelpia tsh 15000 na nmejiunga na Azam sport na zmefunguka chanel 3 tu ambazo n Liverpool Manchester united na real madrid je? hz ndo chanel znazoonesha Lig kuu spain? ansante.
 
nenda kwa wakala wake kuna vitu wanaingiza ndo inafunguka
 
kama zimefunguka hizo tatu tu maana yake hujalipia kifurushi kingine kama Pure 12000, Plus 20000 au Play 25000/- so ongeza moja ya kifurushi ili uendelee kuenjoy
 
Back
Top Bottom